Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
27 Agosti 2026, 05:28:28

Dawa ya uchafu unaotoka ukeni
Uchafu ukeni mara nyingi husababishwa na maambukizi ya fangasi au magonjwa ya zinaa. Kutambua nini kinasababisha uchafu ukeni ni lazima kufahamu dalili zinazoambatana na kutokwa na uchafu ukeni ikiwa pamoja na rangi ya uchafu.
Visababishi vya uchafu ukeni
Matatizo yanayoweza kusababisha kutokwa na uchafu ukeni ni pamoja na;
Maambukizi ya fangasi ukeni
Maambukizi ya magonjwa ya zinaa
oKisonono
oMaambukizi ya Chlamydia
Trichomoniasis
Vaginosis ya bakteria
Pelvic inflammatory disease (PID)
Maambukizi ya virusi vya Human papillomavirus (HPV) au
Saratani ya shingo ya kizazi
Wapi unapata taarifa zaidi ya dawaza uchafu unaotoka ukeni?
Kufahamu matibabu ya kila ugonjwa tafuta dawaya ugonjwa huo kweye kiboksi cha tafuta chochote hapa.' juu ya tovuti hii kwa kuandika mfano, dawa ya kisonono, au dawa za fangasi ukeni kisha bofya kitufe cha kutafuta na chagua uchaguzi ambao unaendana na unachotafuta.
Majina mengine ya dawa za uchafu ukeni
Baadhi ya watu hutumia majina mengine kumaanisha kutokwa na uchafu ukeni kama vile,
Dawa ya kukausha uchafu ukeni,
Dawa ya kuzuia uchafu ukeni,
Dawa ya majimaji yanayotoka ukeni,
Dawa ya harufu mbaya ya uke
Dawa ya kukata uchafu ukeni, n.k
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
5 Aprili 2026, 12:27:38
Rejea za mada hii:-

