top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Agosti 2026, 05:28:28

Dawa za kutibu Gauti

Dawa za kutibu Gauti

Dawa hizi zinazuia kufanyika kwa mawe kwenye figo na magoti , kufanyika kwa mawe haya husababisha kutokea kwa maumivu ya gauti;

​

Orodha ya dawa​

  • Potassium citrate; urokit-K, polycitra-K

  • Colchicine

  • Sodium bicarbonate

  • Sodium citrate 

    • (haitumiki sana kwa sababu madini ya sodium huongeza chumvi mwilini hivyo kusababisha maji mengi yatuame na kuleta shida hasa kwa wagonjwa wa wenye tatizo la moyo, ini au figo kuferi.

  • Potassium bicarbonate

  • Allopurinol

  • Febuxostat

  • Pegloticase

​

Kusoma kuhusu gauti bofya hapa

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeandikwa:

5 Aprili 2026, 12:27:38

Rejea za mada hii:-

BNF 2019
bottom of page