Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
5 Aprili 2026, 09:27:38

Dawa za kuyeyusha damu
Dawa za kuyeyusha damu hujumuisha dawa za kufanya damu iwe nyepesi, kuyeyusha bonge la damu lililoganda au zile za kuzuia chembe sahani za damu kukusanyika ili kutengeneza bonge la damu.
Dawa za kuyeyusha mabonge ya damu
Dawa hizi hufahamika kwa jina jingine la dawa za thrombolytiki yaani dawa zenye uwezo wa kuyeyusha mabonge ya damu yaliyotengenezwa ndani ya mishipa ya damu.
Eminase (anistreplase)
Retavase (reteplase)
Streptase (streptokinase, kabikinase)
t-PA (Activase)
TNKase (tenecteplase)
Abbokinase, Kinlytic (rokinase)
Dawa za kufanya damu iwe nyepesi
Kuna makundi mawili ambayo ni;
Dawa za kuzuia damu isigande na
Dawa za kuzuia chembe sahani zisishikane
Kwa maelezo zaidi ya kila kundi yanafuata kwenye aya hapa chini.
Dawa za kuzuia damu isigande
Apixaban (Eliquis)
Dabigatran (Pradaxa)
Dalteparin (Fragmin)
Edoxaban (Savaysa)
Enoxaparin (Lovenox)
Fondaparinux (Arixtra)
Heparin (Innohep)
Rivaroxaban (Xarelto)
Warfarin (Coumadin, Jantoven)
Dawa za kuzuia chembe sahani zisishikane
Dawa za kuzuia chembe sahani zisishikane (chembe sahani zinaposhikana huamsha damu kuganda au kutengeneza mabonge ya damu ndani ya mishipa ya damu)
Aspirin
Cilostazol
Clopidogrel (Plavix)
Dipyridamole (Persantine)
Eptifibatide (Integrilin)
Prasugrel (Effient)
Ticagrelor (Brilinta)
Tirofiban (Aggrastat)
Vorapaxar (Zontivity)
Wapi unapata maelezo zaidi kuhusu damu kuganda?
Soma maelezo zaidi kuhusu damu kuganda kupitia linki hizi
1. https://www.ulyclinic.com/dalili-za-ugonjwa/Tatizo-la-kuganda-kwa-damu--Thrombophilia
2. https://www.ulyclinic.com/dawa-na-ugonjwa-unaotibiwa/dawa-za-kuyeyusha-na-kuzuia-damu-kuganda
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
5 Aprili 2026, 09:27:38
Rejea za mada hii:-
