top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Agosti 2026, 05:28:28

Dawa Erythrokant

Dawa Erythrokant

Erythrokant ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Erythromycin. Dawa hii ipo katika kundi la macrolide na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na bakteria .


Uzito wa erythrokant


Erythrokant hupatikana katika fomu ya vidonge, tembe na dawa ya maji katika uzito ufuatao


Vidonge

  • Miligramu 250

  • Miligramu 500


Tembe

  • Miligramu 250


Dawa ya maji

  • Miligramu 125 katika ujazo wa mililita 5 (125mg/5 mls)

  • Miligramu 200 katika ujazo wa mililita 5 (200 mg/5 mls)

  • Muligramu 250 katika ujazo wa mililita 5 (250 mg/5 mls)


Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu erythrokant?


Kupata maelezo zaidi kuhusu erythrokant; magonjwa inayotibu, maudhi yake na mengineneyo soma mada inayohusu Erythromycin


Majina mengine ya kibiashara ya Erythrokant


Yafuatayo ni majina mengine ya kibiashara ambayo humaanisha Erythrokant na Erythromycin baadhi yake ni yafuatayo:


  • E.E.S.-200

  • E.E.S.-400 Filmtab

  • EryPed 200

  • EryPed 400

  • Ery-Tab

  • Erythrocin Lactobionate

  • Erythrocin Stearate Filmtab

  • E.E.S. Granules

  • Eryc

  • Ilosone

  • PCE

  • PCE Dispertab


Video ya mada ya erythomycin


Bofya hapa kutazama video ya dawa erythromycin kujifunza zaid



ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:24:55

Rejea za mada hii:-

  1. Tablet wise.Erythrokant. https://www.google.com/amp/s/www.tabletwise.net/nigeria/erythrokant-tablet/amp. Imechukuliwa 27.09.2020

  2. Mediscape. Ery-tab. https://reference.medscape.com/drug/ery-tab-pce-dispertab-erythromycin-base-342526 Imechukuliwa. 27.09.2020

  3. Medicines.org.uk. Erythromycin 250 mg/5 ml Sugar Free Granules for Oral Suspension.https://www.medicines.org.uk/emc/product/4562/smpc#gref. Imechukuliwa 27.09.2020

  4. Medicines.org.uk. Erythromycin Suspension 125mg/5ml SF. https://www.medicines.org.uk/emc/product/1180/smpc#gref. Imechukuliwa 27.09.2020

  5. Arpmed. Erythromycin, 200mg /5 ml granules for oral suspension. https://arpimed.am/%D5%B0%D5%A1%D5%B5-erythromycin-200mg-5-ml-granules-for-oral-suspension/. Imechukuliwa 27.09.2020

  6. Drugs.com. E.E.S. Granules (Oral). https://www.drugs.com/cons/e-e-s-granules-oral.html. Imechukuliwa 27.09.2022

bottom of page