top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

​

Dawa za kutibu matatizo ya presha ya macho na Glaucoma

​

Glaucoma ni kundi la magonjwa yenye sifa za kupelekea kupoteza uwanja wa kuona unaoambatana na kuharibika kwa diski ya optiki na mshipa wa fahamu wa optiki neva. Hata hivyo licha ya glaucoma kuwa ni tatizo linalohusiana na kuwa na shinikizo la juu ndani ya macho, huweza kutokea pia bila kuongezeka kwa shinikizo la jicho. Kuna aina mbili za glaucoma, open angle glaucoma- huongoza kutokea na closed angle glaucoma. Daw zinazotumika katika matibabu ni

​

  • Betaxolol

  • Levobunolol hydrochloride

  • Timolol maleate

  • Acetazolamide

  • Brinzolamide

  • Brinzolamide yenye brimonidine

  • Brinzolamide enye timolol

  • Dorzolamide

  • Dorzolamide enye timolol

  • Pilocarpine

  • Bimatoprost

  • Bimatoprost enye timolol

  • Latanoprost

  • Latanoprost enye timolol

  • Tafluprost

  • Tafluprost enye timolol

  • Travoprost

  • Apraclonidine

  • Brimonidine tartrate

  • Brimonidine enye timolol

bottom of page