top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

Dawa za kutumia kwenye vipimo vya macho

  • Tropicamide

Dawa za kusafisha kidonda cha macho

  • Povidone-iodine

Dawa dai ya kwa ajili ya kipimo cha macho

  • Fluorescein sodium

Dawa ya kutibu miotiki

  • Acetylcholine chloride

Dawa ya kutibu myridiasis

  • Phenylephrine hydrochloride

  • Phenylephrine na tropicamide

  • Tropicamide pamoja na phenylephrine na lidocaine

Dawa za kutibu maumivu baada ya upasuaji wa jicho

  • Fluorescein yenye lidocaine

  • Oxybuprocaine hydrochloride

  • Proxymetacaine hydrochloride

  • Tetracaine

  • Bromfenac

  • Diclofenac sodium

  • Flurbiprofen

  • Ketorolac trometamol

  • Loteprednol etabonate

bottom of page