Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
​
Dawa za kupunguza uzalishaji wa asidi tumboni
​
Dawa hizi hufahamika kama antiasidi, hutumika mara nyingi kwenye matibabu ya vidonda vya tumbo kutokana na matumizi ya NSAIDs na kuzuia uzalishaji wa tindikali kwa wagonjwa walio mahututi, kutibu kiungulia, ugonjwa wa kucheua tindikali na kuungua kwa mrija wa esofagasi
​
Yapo makundi mbalimbali ya dawa za kupunguza uzalishaji wa tidikali kundi la kwanza ni dawa jamii ya H2 risepta bloka ambazo ni;
​
​
Kundi jingine la dawa za kuzuia uzalishaji wa tindikali ambalo ni zuri kuliko kundi la H2 risepta bloka huwa na jina la protoni pumpu inhibita(PPI). Dawa zilizo kwenye kundi hili ni(bonyeza dawa kusoma zaidi);
​
​
ULY CLINIC inakushauri siku zote usitumie dawa yoyote ile pasipo kuandikiwa cheti na daktari wako. Matumizi ya dawa pasipo cheti cha daktari huongeza hatari ya kuferi kwa viungo mbalimbali ndani ya mwili pamoja na usugu wa vimelea dhidi ya dawa hiyo.
​