top of page

Dodoso la historia ya kutoshika ujauzito

A.Taarifa za Kidemografia

A4. Elimu Yako
Sijasoma
Shule ya msingi
Sekondari
Chuo cha kati
Chuo Kikuu

B. Maswali kuhusu mzunguko wa hedhi

B1. Je, mzunguko wako wa hedhi ni wa kawaida kila mwezi? (kawaida huwa siku 21–35)
Ndio
Hapana
B4. Je, kuna kipindi uliacha kupata hedhi kwa muda mrefu bila ujauzito?
Ndio
Hapana

C. Maswali kuhusu maisha ya Ndoa na Mahusiano ya Kingono

C4. Je, umewahi pata mtoto(watoto) kabla na mwenzi mwingine mbali na mwezi wa sasa?
Ndio
Hapana
C5. Je, umewahi pata mtoto(watoto) na mwenzi wako wa sasa kabla?
Ndio
Hapana

D. Maswali Kuhusu Historia ya Afya na Matibabu

E. Maswali Kuhusu Mtindo wa Maisha

F. Maswali Kuhusu Historia ya Familia

G. Maswali Kuhusu Mwezi Huu na Maandalizi ya Vipimo

G3. Je, umewahi kufanya vipimo vya shida hii kama ultrasound, vipimo vya damu?
Ndio
Hapana

H. Ridhaa ya kutoa taarifa

bottom of page