top of page

Dodoso la vipele kwenye uume

Tafadhali jaza taarifa hizi kwa ufasaha na usahihi ili kumsaidia daktari kufahamu shida yako. Maelezo haya ni siri baina yako na daktari wako.

Umewahi kulazwa miezi 12 iliyopita?
Unaugua ugonjwa wowote sugu?
Ni ugonjwa gani kati ya haya
Je vipele vna sifa gani kati ya zifuatazo?
Je una dalili gani nyingine miongoni kati ya zifuatazo?
Je umetumia dawa yoyote kutibu dalili ulizonazo?
Je, mpenzi uliyenaye/ulionao wana dalili hii pia?
Je, unatuma njia yoyote kujikinga na magonjwa ya zinaa?
Mara ngapi unatumia njia hiyo?
Bofya hapa kupakia picha
bottom of page