Mwandishi:
Dkt. Salome A, MD
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
15 Julai 2022, 18:10:27
Wiki ya 23 ya ujauzito
Nini hutokea kwa mtoto
Mtoto huwa na uzito wa gramu 450 na uzito kati ya sentimeta 28 hadi 36
Vinyweleo vinavyofunika mwili wake huanza kupata rangi nyeusi
Mifupa yake hukomaa
Uwezo wake wa kusikia huongezeka zaidi na anaweza kutambua sauti ya mama
Pia huweza kuhisi sauti na mijongeo kutoka nje na kuonesha muitikio, mfano anaweza kuamka anaposikia kelele
Nini hutokea kwa mama
Mama huendelea kuona mabadiliko kama
Kuhisi vitu vinatembea kwenye mikono
Kupata maumivu ya miguu
Kuvimba miguu kiasi
Kubanwa pua na mafua ya mara kwa mara
Kutokwa damu kwenye fizi
Majina mengine
Majina mengine yanayoendana na mada hii ni:
Ujauzito wa wiki 23
Mimba ya wiki 23
Wiki 23 ya mimba
Kijusi cha wiki 23
Mwonekano wa ujauzito wa wiki 23
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
16 Julai 2022, 06:07:29
Rejea za dawa
American Society for Reproductive Medicine; American College of Obstetricians and Gynecologists' Committee on Gynecologic Practice. Prepregnancy counseling: Committee Opinion No. 762. Fertil Steril. 2019 Jan;111(1):32-42. [PubMed]
Berglund A, et al. Preconception health and care (PHC)-a strategy for improved maternal and child health. Ups J Med Sci. 2016 Nov;121(4):216-221. [PMC free article] [PubMed]
Annadurai K, et al. Preconception care: A pragmatic approach for planned pregnancy. J Res Med Sci. 2017;22:26. [PMC free article] [PubMed]
McClatchey T, et al. Missed opportunities: unidentified genetic risk factors in prenatal care. Prenat Diagn. 2018 Jan;38(1):75-79. [PubMed]
Ko SC, et al. Estimated Annual Perinatal Hepatitis B Virus Infections in the United States, 2000-2009. J Pediatric Infect Dis Soc. 2016 Jun;5(2):114-21. [PubMed]
Tohme RA, et al. Hepatitis B virus infection among pregnant women in Haiti: A cross-sectional serosurvey. J Clin Virol. 2016 Mar;76:66-71. [PMC free article] [PubMed]
Bhavadharini B, et al. Screening and diagnosis of gestational diabetes mellitus - relevance to low and middle income countries. Clin Diabetes Endocrinol. 2016;2:13. [PMC free article] [PubMed]
ACOG Practice Bulletin No. 190 Summary: Gestational Diabetes Mellitus. Obstet Gynecol. 2018 Feb;131(2):406-408. [PubMed]
Rule T, et al. Introducing a new collaborative prenatal clinic model. Int J Gynaecol Obstet. 2019 Mar;144(3):248-251. [PubMed]