top of page

Tatizo la figo kufeli ghafla

Imeandikwa na madaktari wa uly clinic

Hutokea endapo kiwango cha damu kinachoingia katika figo kimepungua ama kunakitu kimefunga mmirija ya figo kutoa mkojo nnje ya mwili ama kukiwa na ugonjwa wowote ndani ya figo.

Endelea kusoma kwa kubonyeza unachokihitaji kuhusu Dalili, Visababishi, Vihatarishi, Matibabu

Imechapishwa 3/3/2016

Imeboreshwa 21/11/2020

bottom of page