Elimisha jamii, ongeza maarifa huku ukijipatia fedha
Mwandishi:
Mwana habari wa ULY CLINIC
Mhariri:
4 Machi 2021 20:23:59
Andika, elimisha na jipatie fedha
Ukiwa nyumbani na kompyuta yako, unaweza fanya kazi ya kuelimisha jamii dhidi ya masuala mbalimbali ya kiafya kwa kuandika au kuhariri, huku ukijipatia fedha kuanzia kiashi cha sh elfu 1000 hadi 10,000 kwa makala moja fupi. Inawahusu wataalamu wa afya tu, andika na elimisha uwezavyo.
Unapata wapi maelezo zaidi?
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za whastapp +255621122578 kupata maelekezo. Au ingia kwenye linki ya ULY CLINIC project 1000.
Je kuna kiwango cha mwisho wa kuandika?
Hakuna kiwango cha mwisho kuandika na kuna zaidi ya makala 1000 zinazotakiwa kuandikwa zinazohusu mambo mbalimbali ya kiafya.
Malipo yanalipwaje
Mara baada ya kuandika makala yako, timu ya ULY CLINIC kupitia wataalamu wake watapitia makala hiyo kabla ya kufanyiwa malipo. Inachukua siku 1 hadi mbili kupitia kazi uliyofanya kisha kufanyika kwa malipo.
Je inaruhusiwa kukopi kazi za mtu mwingine
ULY CLINIC inatengeneza 'contents' kutoka kwenye chanzo halisi, kazi za kukopi au kuchukuliwa kutoka sehemu moja haziruhusiwi na hazikubaliki. Endapo utabainika kukopi, au kutafsiri kwa kutumia engine zinazofahamika, utaondolewa kwenye Project hii na kazi zako hazitalipwa au kutumiwa na ULY CLINIC.
Imeboreshwa
13 Agosti 2023 14:07:58
Rejea za Habari hii;
https://www.ulyclinic.com/uly-clinic-project-1-000. Imechukuliwa 1/10/2021