Habari za afya
Soma habari mpya na matukio katika fani za afya kutoka kona mbalimbali za Dunia na Tanzania

Sayansi haijui kila kitu kuhusu afya
Sayansi imetupa maarifa muhimu ya kuelewa na kulinda afya, lakini bado haijui kila kitu kuhusu mwili wa binadamu, na baadhi ya uelewa na mapendekezo hubadilika kadiri ushahidi mpya na tafiti bora zinavyopatikana. Hivyo, tumia maarifa ya kisayansi kwa hekima, chukua tahadhari zinazofaa bila kuishi katika hofu, ishi kwa kiasi na uwiano, jielewe, jiwekee muda wa utulivu na usiruhusu hofu ya mambo yasiyojulikana kukunyima amani, furaha na ubora wa maisha.

Ufuatiliaji wa wagonjwa wanaotumia PEP: Njia muhimu ya kujua ufanisi wa kinga dhidi ya VVU Tanzania
PEP haihitaji tu kutolewa kama dawa, inahitaji mfumo wa kufuatilia matokeo. Bila kujua ni wangapi wamemaliza dawa na matokeo yao baada ya vipimo, hatuwezi kupima kwa usahihi mafanikio ya PEP nchini. Kila mgonjwa anayefuatiliwa vizuri ni chanzo cha ushahidi kitakachosaidia kuboresha huduma za VVU Tanzania.
Shiriki utafiti wa Afya na pata zawadi ya Muamala wa Fedha💰
Ni rahisi sana kushiriki 👇
📩 Fungua linki iliyoambatana na picha hii
📝 Jaza fomu ya utafiti kisha tuma, hapohapo utapokea msimbo wako wa muamala wa fedha 💰
👩🏿⚕️👨🏿⚕️ Wanahitajika washiriki 369/380 tu kwa sasa ambao ni watumiaji wa kawaida wa tovuti ya ulyclinic na wataalamu wa afya ngazi ya kati
📅 Ushiriki unaendelea mpaka tarehe 21.05.2026
Shiriki sasa na changia kuboresha huduma za afya kupitia teknolojia ya Akili Unde kwa Kiswahili 🇹🇿❤️
Asante.

Shiriki Utafiti wa Afya leo na upete ZAWADI ya muamala wa Fedha💸
Ni rahisi sana kushiriki 👇
📩 Fungua linki iliyoambatana na picha hii
📝 Jaza fomu ya utafiti kisha tuma, hapohapo utapokea msimbo wako wa muamala wa fedha 💰
👩🏿⚕️ 👨🏿⚕️ Wanahitajika washiriki 378/380 tu kwa sasa ambao ni watumiaji wa kawaida wa tovuti ya ulyclinic na wataalamu wa afya ngazi ya kati
📅 Ushiriki umeanza leo 01 na utaendelea hadi 21.05.2026
Shiriki sasa na changia kuboresha huduma za afya kupitia teknolojia ya Akili Unde kwa Kiswahili 🇹🇿❤️
Asante.

Dkt. Sospeter Benjamin Mangwella – Mwanzilishi wa ULY CLINIC
Dkt. Sospeter Benjamin Mangwella ni daktari na mtaalamu wa elimu ya afya aliyeanzisha ULY CLINIC ili kutoa elimu ya afya kwa Kiswahili, akichanganya uzoefu wa kliniki, uandishi wa makala za afya, na teknolojia ya kisasa. Leo hii, analenga kuendeleza mradi wa Elimu ya Afya iliyounganishwa na AI, ikirahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi za afya kwa jamii na wagonjwa Afrika Mashariki.
