Habari za afya
Soma habari mpya na matukio katika fani za afya kutoka kona mbalimbali za Dunia na Tanzania

Tofauti ya AI na Daktari katika kutafsiri maswali
AI hutegemea uandishi ulio wazi na mantiki iliyopangwa ili kutafsiri swali, hivyo maswali yasiyoeleweka hupunguza usahihi wa majibu. Daktari, kwa upande mwingine, hutumia uzoefu, muktadha, na hisia za kitaalamu kutafsiri hata maswali yasiyo rasmi na kutoa majibu sahihi zaidi.

Ongea na Daktari wa Mtandaoni kwa Kiswahili – Saa 24
Pata mwongozo wa haraka wa afya kwa Kiswahili kwa kutumia ULY Clinic AI Chatbot Saa 24. Elewa dalili zako mapema na ujue lini unaweza kujitibu nyumbani au ni bora kwenda hospitali. Kwa simu, tembelea tovuti yetu, bofya nukta tatu chini kulia kisha chagua ULY Clinic AI. Kwa kompyuta, bofya kisanduku cha ujumbe kilicho chini kulia kisha andika swali lako ili kupata msaada wa kiafya mara moja.

Elimisha jamii, ongeza maarifa huku ukijipatia fedha
Ukiwa nyumbani na kompyuta yako, unaweza fanya kazi ya kuelimisha jamii dhidi ya masuala mbalimbali ya kiafya kwa kuandika au kuhariri , huku ukijipatia fedha kuanzia kiashi cha sh elfu 1,000 hadi 10,000 kwa makala moja fupi. Hii inawahusu wataalamu wa afya tu, andika na elimisha uwezavyo.

