Nia yetu ni kukuhudumia popote pale ulipo
Huduma zetu
Kwa nini uchague huduma zetu?
-
ULY CLINIC application na tovuti ina zaidi ya miaka 4 sasa kuhudumia maelfu ya wa Tanzania kwenye elimu ya afya na Tiba
-
Watumiaji wa mfumo huu wameridhika kwa asilimia 95
-
Mtu anaweza kutumia huduma popote pale Tanzania
-
Mfumo huu unakupa kutumia muda na gharama kidogo kupata huduma kwa haraka bila kupanga foleni
-
Daktari atakuandikia fomu ya dawa kwenye cheti maalumu kwenye application ya simu ya "uly clinic" cheti kitakubalika kutumia katika duka lolote la dawa Tanzania
Utaratibu wetu
-
Utaratibu wa kupata elimu ya afya na matibabu ni rahisi sana
-
Unaweza kuchagua daktari au mhudumu wa afya kulingana na mkoa uliopo
-
Utahudumiwa na daktari utakaye mchagua au utafanya clinic na daktari wako unayemfahamu
-
Mteja atahudumiwa kwa gharama kidogo na kupata huduma bora
-
Kwa anayetaka huduma za nyumbani kutoka kwa wataalamu wa afya, tafuta daktari uly clinic au kuwasiliana na namba zilizo chini ya tovuti hii
Matarajio yetu
-
Kukufanya uendane na wakati, utumie muda kidogo kupata huduma za afya na kukupa muda wa ziada kufanya kazi nyingine za kuongeza kipato na kujenga Taifa
-
Kuwafikia wagonjwa wote kwa gharama ambazo wanaweza gharimia popote pale ulipo
-
Kukufanya upate huduma za wataalamu ukiwa nyumbani, kama tiba, vipimo, ushauri wa kiafya, dawa n.k kwa gharama nafuu