top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Septemba 2022 17:59:35

Doxlin

Doxlin ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria iliyo kundi la tetracycline inayofahamika kama doxycycline. Doxlin hutumika kutibu maradhi mablimbali yanayosababishwa na bakteria.


Baadhi ya maambukizi inayotibu ni chunusi, homa ya matumbo, homa ya riketsia, kisonono, klamidia, magonjwa ya fizi na mengine. Hufahamika pia kama Doxlin® na Doxlin® CAP


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu doxlin


Soma maelezo zaidi ya doxlin na magonjwa yanayotibiwa na dawa, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya doxycycline


Majina mengine yanayoashiria doxlin ni:


  • Vibramycin

  • Doryx

  • Doryx MPC

  • Oracea

  • Acticlate

  • Atridox

  • Doxy 100

  • Doxy 200


VIdeo kuhusu doxycycline


Tazama kwa kubofya linki ya doxycycline


Maswali yanayojibiwa na mada


Mada hii inasaidia kukupa maelezo au kiungo cha kupata majibu ya maswali yafuatayo:


  • Doxlin inatibu nini?

  • Doxlin hutibu nini?

  • Doxlin inatibu ugonjwa gani?

  • Doxlin inaruhusiwa kutumika na pombe?

  • Doxlin na pombe

  • Dawa ya Doxlin

  • Mjamzito anaweza tumia Doxlin?

  • Doxlin inaitumiaje?

  • Doxlin ni dawa ya nini?

  • Doxlin inafanya kazi baada ya masaa mangapi?

  • Je, Doxlin kwa siku unakunywa vidonde vingapi?

  • Matumizi ya Doxlin

  • Doxlin ina madhara?

  • Doxlin hukaa muda gani mwilini?

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

  1. Doxycycline. Healthline. https://www.healthline.com/health/drugs/doxycycline-cost. Imechukuliwa 27.09.2022

  2. TATA 1mg. Doxlin-LB Capsule. https://www.1mg.com/drugs/doxlin-lb-capsule-601996. Imechukuliwa 27.09.2022

  3. Generic drugs. Doxlin. https://www.ndrugs.com/?s=doxlin. Imechukuliwa 27.09.2022

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:01:53

bottom of page