Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt. Benjamin L, MD
Dkt. Salome A, MD
4 Juni 2022 15:27:49
Dulcolax
Dulcolax ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Bisacodyl. Bisacodyl ni dawa iliyo kwenye kundi la dawa za kuchochea na kulegeza matumbo inayotumika katika matibabu ya haja ngumu.
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Dulcolax?
Soma maelezo ya Dulcolax kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi, madhara, namna dawa inavyofanyakazi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:
Bisacodyl na ujauzito
Majina mengine ya kibiashara ya Bisacodyl
Majina mengine yanayoashiria bisacodyl ni:
Alophen
Baxative
Baxative (5 mg)
Bicolex
Bidlax -5
BisacEvac
Bisacodyl (5 mg)
Bisacodyl -5
Bisacolax
Bisariv
Bo Lax
Codulax
Conlax
Conlax (10 mg)
Correctol
Dulcolax
Dulcolax (10mg)
Feen A Mint
Fleet Stimulant Laxative
Julax – M
Julax (10 mg)
Junifree –RDS
Laxit
Modane
Orcolax
Saflax
Unilax
Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:
Dulcolax ni dawa gani?, Dulcolax ni nini?, Dulcolax inatibu nini?, Dulcolax hutibu nini?, Dulcolax inatibu ugonjwa gani?, Dulcolax inaruhusiwa kutumika na pombe?, Dulcolax na pombe, Dawa ya Dulcolax, mjamzito anaweza tumia Dulcolax?, Dulcolax naitumiaje?, Dulcolax ni dawa ya nini?, Dulcolax inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Dulcolax kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Dulcolax, Dulcolax ina madhara?, Dulcolax hukaa muda gani mwilini?,
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
Bisacondyl trade names. https://www.medindia.net/drug-price/bisacodyl.htm. Imechukuliwa 04/06/2022
Bisacondyl. https://www.ulyclinic.com/dawa/Dawa-bisacodyl. Imechukuliwa 04/06/2022
BISACODYL. https://www.rxlist.com/consumer_bisacodyl_dulcolax/drugs-condition.htm. Imechukuliwa 04/06/2022
Bisacodyl (OTC). https://reference.medscape.com/drug/dulcolax-correctol-bisacodyl-342008. Imechukuliwa 04/06/2022
Imeboreshwa:
27 Septemba 2022 18:59:15