top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Salome A, MD

Dkt. Mangwella S, MD

23 Septemba 2022 17:37:32

Gulamox

Gulamox ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama amoxicillin. inayotumuka kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na bakteria.


Uzito wa gulamox


Gulamox hupatikana katika fomu ya vidonge vya kumeza, vidonge vya kutafuna, tembe na dawa ya maji katika uzito ufuatao


Vidonge vya kumeza

 • Miligramu 500

 • Miligramu 875


Vidonge vya kutafuna

 • Miligramu 125

 • Miligramu 250


Tembe

 • Miligramu 250

 • Miligramu 500


Dawa ya maji


 • Miligramu 125 katika mililita 5 (125 mg/5ml)

 • Miligramu 200 katika mililita 5 (200 mg/5ml)

 • Miligramu 250 katika mililita 5 (250 mg/5ml)

 • Miligramu 400 katika mililita 5 (400 mg/5ml)


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu gulamox?


Kupata maelezo zaidi kuhusu gulamox soma mada inayohusu amoxicillin


Majina mengine ya kibiashara ya gulamox


Majina mengine ya kibiashara ya gulamox yanayomaanisha amoxicillin ni:


 • Amoxicot

 • Amoxil

 • DisperMox

 • Moxatag

 • Moxilin

 • Trimox

 • Amoxil Pediatric

 • Apo-Amoxi

 • Apo-Amoxi Sugar-Free

 • Gen-Amoxicillin

 • Med Amoxicillin

 • Novamoxin

 • Novamoxin Reduced Sugar

 • Nu-Amoxi

 • Riva-Amoxicillin

 • Scheinpharm Amoxicillin

 • Zimamox

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 16:53:26

bottom of page