top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

ULY CLINIC

Staf wa ULY CLINIC

21 Januari 2024 16:35:17

LA75

LA75 ni kifupisho cha lebo inayowekwa kwenye kidonge cha dawa ya ARV yenye mchanganyiko wa Dolutegravir miligramu 50, Lamivudine miligramu 300 na Tenofovir miligramu 300.

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada:

Imeboreshwa:

21 Januari 2024 16:35:17

bottom of page