top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Mangwella S, MD

Dkt. Salome A, MD

4 Juni 2022 12:36:58

Levoz 500

Levoz 500 ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama levofloxacin. Levofloxacin ni aina ya antibayotiki katika quinolone inayotumika kutibu magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bakteria wanaodhuriwa na dawa hii.


Levoz 500 humaanisha kidonge cha levofloxacin chenye uzito wa miligramu 500


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Levoz 500 ?


Soma maelezo ya Levoz 500 kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi, madhara, namna dawa inavyofanyakazi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya levofloxacin


Majina mengine yanayoashiria levofloxacin ni:


  • Levaquin

  • Olevo

  • Iquix

  • Quinsair

  • Levos


Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:


Levox 500 ni dawa gani?, Levox 500 ni nini?, Levox 500 inatibu nini?, Levox 500 hutibu nini?, Levox 500 inatibu ugonjwa gani?, Levox 500 inaruhusiwa kutumika na pombe?, Levox 500 na pombe, Dawa ya Levox 500, mjamzito anaweza tumia Levox 500?, Levox 500 naitumiaje?, Levox 500 ni dawa ya nini?, Levox 500 inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Levox 500 kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Levox 500, Levox 500 ina madhara?, Levox 500 hukaa muda gani mwilini?,

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:59:35

bottom of page