top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Benjamin L, MD

Dkt. Adolf S, MD

4 Juni 2022 11:32:29

Omesk

Omesk ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Omeprazole. Omeprazole ni aina ya dawa katika kundi la vizuia pampu ya protoni inayotumika kutibu magonjwa yanayotokana na uzalishaji mkali wa tindikali tumboni na kucheua tindikali.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu omesk?


Soma maelezo ya omesk kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:Majina mengine ya kibiashara ya omeprazole


Majina mengine yanayoashiria omeprazole ni:

 • Prilosec

 • Prilosec OTC

 • Zegerid

 • Omesec

 • Acichek

 • Acichek (20mg)

 • Acidus

 • Aurizol-O (20mg)

 • Axefire (20mg)

 • Biocid

 • Ceso

 • Cozep (10mg)


Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:


Omesk ni dawa gani?, Omesk ni nini?, Omesk inatibu nini?, Omesk hutibu nini?, Omesk inatibu ugonjwa gani?, Omesk inaruhusiwa kutumika na pombe?, Omesk na pombe, Dawa ya Omesk, mjamzito anaweza tumia Omesk?, Omesk naitumiaje?, Omesk ni dawa ya nini?, Omesk inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Omesk kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Omesk, Omesk ina madhara?, Omesk hukaa muda gani mwilini?

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

 1. Omeprazole. https://www.drugs.com/ingredient/omeprazole.html. Imechukuliwa 04.06.2022

 2. Dawa omeprazole. https://www.ulyclinic.com/dawa/Omeprazole. Imechukuliwa 04.06.2022

 3. Omeprazole n aujauzito. Ujauzito na dawa. https://www.ulyclinic.com/madhara-ya-dawa-kwa-mjamzito-na-mto/omeprazole-na-ujauzito. Imechukuliwa 04.06.2022

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:59:46

bottom of page