Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt. Salome A, MD
Dkt. Benjamin L, MD
5 Juni 2022 14:06:46
Pen V
Pen V ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Penicillin V , moja ya antibayotiki jamii ya penicillin inayotumika kutibu magonjwa yanayosababishwa na bakteria wanaodhuriwa na dawa hii kama vile magonjwa ya koo, masikio, ngozi na kinga ya homa ya moyo ( homa ya rhiumatiki)
Uzito wa pen V na maana yake
Pen V 500mg humaanisha Penicillin V yenye uzito wa miligramu 500
Pen V 250mg humaanisha Penicillin V yenye uzito wa miligramu 250
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Penicillin V?
Soma maelezo ya Penicillin V kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:
Penicillin V na ujauzito
Majina mengine ya kibiashara ya Penicillin V
Majina mengine yanayoashiria Penicillin V ni:
Penicillin VK
PC Pen VK
Veetids
Pen-Vee K
Beepen VK
Ledercillin VK
Pen-Vee K
-48
Longacillin
Cillin K
Veetids
Bistrepen 1 dose
Fortified PP
Fortified Procaine peni INJ
Kaypen
Pencom
Penidure
Penivoral
Shalpen
Durapen
Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:
Pen V ni dawa gani?, Pen V ni nini?, Pen V inatibu nini?, Pen V hutibu nini?, Pen V inatibu ugonjwa gani?, Pen V inaruhusiwa kutumika na pombe?, Pen V na pombe, Dawa ya Pen V, mjamzito anaweza tumia Pen V?, Pen V naitumiaje?, Pen V ni dawa ya nini?, Pen V inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Pen V kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Pen V, Pen V ina madhara?, Pen V hukaa muda gani mwilini?
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
Dawa Penicillin V. https://www.ulyclinic.com/dawa/Penicillin-V. Imechukuliwa 05.06.2022
Mediscape.Penicillin V https://reference.medscape.com/drug/pen-vee-k-penicillin-v-penicillin-vk-342483#90. Imechukuliwa 05.06.2022
Healthline Pen V oral Tablet. https://www.healthline.com/health/penicillin-v-oral-tablet. Imechukuliwa 05.06.2022
Goodman and Gilman’s The pharmacological Basis of therapeutic ISBN 978-0-07-1624428
Modern pharmacology with Clinical applications written by Charles R. Craig and Robert E. Stitizel Ukurasa wa 528 -530
Clinical pharmacology and Therapeutics Written by James M Ritter ISBN 978-0-340-90046-8
Imeboreshwa:
27 Septemba 2022 18:58:39