top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:18

Dawa ya malaria (antimalarial)

Dawa ya malaria (antimalarial)

Majina mengine: antimalarial (Kiingereza)


Aina ya neno: aina ya dawa


Maana: dawa dhidi ya vimelea vya Plasmodium.


Maelezo zaidi


  • Malaria isiyo kali: ALu kwa siku 3 (dozi 6), imezwe pamoja na chakula chenye mafuta au maziwa.

  • Malaria kali: artesunate ya sindano, kisha dozi kamili ya ALu.

  • Kinga kwa wajawazito: SP (sulfadoxine-pyrimethamine) kwenye kliniki kuanzia wiki 13.

  • Pima kwanza (mRDT au hadubini) kabla ya kutumia dawa ya malaria.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Homa isiyopungua siku 2–3 baada ya kuanza dawa, au dalili yoyote ya malaria kali.


Tazama pia: Malaria kali (severe malaria)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page