top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:11:16
Hisia kinzani (ambivalensi)
Majina mengine: ambivalensi; mawazo yanayokinzana; ukinzani wa mawazo; ambivalence (Kiingereza)
Aina ya neno: dalili ya afya ya akili
Maana: kuwepo kwa hisia, nia au mawazo yanayopingana kwa pamoja.
Maelezo zaidi
Ni kawaida katika maamuzi magumu (mf. kuacha pombe au la).
Ikiwa kali na kufanya mtu ashindwe kabisa kuamua au kutenda, huweza kuonekana katika skizofrenia na matatizo mengine ya akili.
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

