top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:11:16

Kizunguzungu cha kuzunguka cha mkao (BPPV)

Kizunguzungu cha kuzunguka cha mkao (BPPV)

Majina mengine: kizunguzungu cha mkao kisicho hatari; benign paroxysmal positional vertigo, BPPV (Kiingereza)


Aina ya neno: ugonjwa wa sikio la ndani


Maana: vetigo fupi (chini ya dakika 1) inayochochewa na mkao wa kichwa.


Maelezo zaidi


  • Huchochewa na kulala, kugeuka kitandani, kuinama au kuangalia juu.

  • Hakuna upungufu wa kusikia wala dalili za neva.

  • Hutibiwa kwa mazoezi maalum ya kichwa (mf. Epley manoeuvre) yanayorudisha chembe mahali pake.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Kizunguzungu pamoja na maumivu makali ya kichwa, kuona vitu viwili, kuongea kwa shida, udhaifu, au kushindwa kutembea kabisa – ni dharura.


Tazama pia: Upungufu wa damu kwenye shina la ubongo (brain stem ischaemia)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page