top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
8 Novemba 2026, 11:56:45
Kupoteza sauti kabisa (afonia)
Majina mengine: afonia; kukosa uwezo wa kutoa sauti; aphonia (Kiingereza)
Aina ya neno: dalili
Maana: kukosekana kabisa kwa sauti ya kuongea.
Maelezo zaidi
Visababishi: uvimbekinga wa zoloto (laryngitis), kutumia sauti kupita kiasi, kupooza kwa nyuzi za sauti, uvimbe wa zoloto, jeraha, msongo wa kisaikolojia.
Kubadilika au kukwaruza kwa sauti bila kupotea kabisa huitwa disifonia.
Lini umwone mtaalamu wa afya
Sauti ikipotea zaidi ya wiki 3, hasa kwa mvutaji wa sigara, au pamoja na kumeza kwa shida au kupumua kwa shida.
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

