top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:11:16

Kutoa majimaji ya maungio kwa sindano (athrosentesisi)

Kutoa majimaji ya maungio kwa sindano (athrosentesisi)

Majina mengine: athrosentesisi; joint aspiration, arthrocentesis (Kiingereza)


Aina ya neno: utaratibu wa matibabu / uchunguzi


Maana: kuvuta majimaji ya maungio (synovial fluid) kwa sindano kwa njia safi.


Maelezo zaidi


  • Majimaji huchunguzwa maabara: chembe nyeupe, vimelea (kuotesha), fuwele za gauti.

  • Husaidia kutofautisha maambukizi ya maungio, gauti na arthritis nyingine.

  • Hufanywa na mtaalamu kwa usafi mkubwa ili kuzuia maambukizi.

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page