top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Novemba 2026, 15:48:56

Magonjwa ya kinga kushambulia mwili (autoimmune diseases)

Magonjwa ya kinga kushambulia mwili (autoimmune diseases)

Majina mengine: autoimuni; magonjwa ya autoimuni; kujishambulia kwa kingamwili; autoimmune (Kiingereza); kujila kwa mwili; magonjwa ya mtafunokinga; mtafunokinga


Aina ya neno: kundi la magonjwa


Maana: hali ambapo kinga ya mwili hushambulia mwili wenyewe.


Maelezo zaidi


  • Mifano: kisukari aina ya kwanza, baridi yabisi (rheumatoid arthritis), lupus (SLE), ugonjwa wa Graves na Hashimoto (tezi ya shingo), vitiligo, myasthenia gravis, multiple sclerosis.

  • Huwapata zaidi wanawake; mara nyingi huwa na vipindi vya kupungua na kuzidi.

  • Matibabu ni kudhibiti kinga (dawa za kupunguza mwitikio wa kinga) na kubadilisha homoni zilizopotea.

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page