top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Novemba 2026, 15:48:56

Metro (metronidazole)

Metro (metronidazole)

Majina mengine: metronidazole; Flagyl; frajili


Aina ya neno: jina fupi la dawa


Maana: metronidazole, dawa ya jamii ya nitroimidazole.


Maelezo zaidi


  • Hutumika kwa: amiba, giadia, trikomonasi, maambukizi ya ukeni ya bakteria, na baadhi ya maambukizi ya tumbo na meno.

  • Usinywe pombe wakati wa matibabu na kwa angalau saa 48 baada ya dozi ya mwisho – huleta kichefuchefu, kutapika na mapigo ya moyo kwenda haraka.

  • Inaweza kuleta ladha ya chuma mdomoni; tumia kwa maelekezo ya mtaalamu wa afya.


Tazama pia: Mwingiliano wa dawa (drug interaction)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page