top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

15 Novemba 2026, 07:51:30

Mijongeo ya ghafla isiyo na mpangilio (korea)

Mijongeo ya ghafla isiyo na mpangilio (korea)

Majina mengine: chorea (Kiingereza)


Aina ya neno: dalili (ya neva)


Maana: mijongeo isiyo ya hiari isiyo na mpangilio.


Maelezo zaidi


  • Visababishi: homa ya baridi yabisi kwa watoto na vijana, ujauzito (chorea gravidarum), ugonjwa wa Huntington (wa kurithi), baadhi ya dawa, kiharusi, homoni za tezi ya shingo kuzidi, lupus.

  • Mtoto mwenye korea achunguzwe moyo na apewe penisilini ya kuzuia homa ya baridi yabisi kujirudia.


Tazama pia: Uvimbekinga wa moyo (carditis), Mijongeo ya polepole ya kujinyonganyonga (athetosisi)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page