top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:16
Mrija mkuu wa nyongo (common bile duct)
Majina mengine: common bile duct, CBD (Kiingereza)
Aina ya neno: sehemu ya mwili
Maana: mrija wa nyongo kutoka ini hadi duodenum.
Maelezo zaidi
Ukiziba (jiwe, saratani ya kongosho au ya mirija, minyoo), nyongo hurudi damuni na kuleta manjano, mkojo mweusi, kinyesi cheupe na kuwashwa.
Maambukizi ya mrija ulioziba (cholangitis) – homa, manjano, maumivu – ni dharura.
Tazama pia: Kifuko cha nyongo (gallbladder), Kinyesi cha rangi ya udongo mfinyanzi (clay-coloured stools)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

