top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:14
Nusukaputi ya eneo (local anaesthesia)
Majina mengine: ganzi ya eneo; local anaesthesia (Kiingereza)
Aina ya neno: matibabu
Maana: kuzuia hisia za maumivu kwenye eneo dogo.
Maelezo zaidi
Hudungwa kwenye ngozi au karibu na neva, au hupakwa kama matone au krimu (mf. matone ya macho).
Ganzi hudumu masaa 1–3; jihadhari usiume ulimi au shavu baada ya huduma ya meno.
Mwambie mtaalamu kama umewahi kupata mzio wa dawa ya ganzi.
Tazama pia: Jino lililokwama kuota (impacted tooth)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

