top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
11 Desemba 2025, 06:29:42

Pangusa
Pangusa (hufahamika pia kwa jina jingine kama chankroidi) ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria Haemophilus ducreyi, unaojulikana kwa kusababisha vidonda vinavyouma kwenye sehemu za siri pamoja na uvimbe wa tezi limfu kwenye kinena. Vidonda vyake huwa laini, vinaumiza na vinaweza kutoa usaha. Ugonjwa huu huenea kupitia ngono isiyo salama na unatibika kwa dawa za antibayotiki.
Imeandikwa:
11 Desemba 2025, 03:04:30
bottom of page
