top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Novemba 2026, 15:48:56

Shina la ubongo (brain stem)

Shina la ubongo (brain stem)

Majina mengine: brain stem (Kiingereza)


Aina ya neno: sehemu ya mwili


Maana: sehemu ya ubongo yenye midbrain, pons na medulla, iliyo juu ya uti wa mgongo.


Maelezo zaidi


  • Kazi zake: kupumua, mapigo ya moyo, shinikizo la damu, kumeza, kuamka na kulala, na kupitisha ujumbe kati ya ubongo na mwili.

  • Neva nyingi za fuvu (za macho, uso, kumeza) hutoka hapa.

  • Jeraha au kiharusi cha shina la ubongo ni hatari kwa maisha.


Tazama pia: Upungufu wa damu kwenye shina la ubongo (brain stem ischaemia); Haipothalamasi (hypothalamus)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page