top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:14

Taya ya juu na taya ya chini (maxilla and mandible)

Taya ya juu na taya ya chini (maxilla and mandible)

Majina mengine: maxilla, mandible, jaw (Kiingereza)


Aina ya neno: sehemu ya mwili


Maana: mifupa ya taya.


Maelezo zaidi


  • Taya ya chini ndio mfupa pekee wa uso unaojongea – huwezesha kutafuna na kuongea.

  • Majeraha ya taya (ajali, kupigwa) huleta meno kutokukutana vizuri na maumivu wakati wa kufungua mdomo.

  • Uvimbe wa taya kwa watoto huweza kuwa Burkitt lymphoma – uchunguzwe haraka.


Tazama pia: Kuteguka kwa kiungo cha taya (TMJ dislocation), Saratani ya tezi za limfu (lymphoma)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page