top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:18
Tiba ya mfereji wa mzizi (root canal treatment)
Majina mengine: root canal treatment (Kiingereza)
Aina ya neno: utaratibu wa meno
Maana: matibabu ya ndani ya jino (endodontic).
Maelezo zaidi
Hufanywa pale kuoza au jeraha kumefikia massa ya jino.
Baada ya tiba, jino mara nyingi hufunikwa kwa kofia (crown) ili lisivunjike.
Tazama pia: Kuoza kwa meno (dental caries)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

