top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:14
Ugonjwa wa figo wa hatua ya mwisho (end-stage kidney disease)
Majina mengine: figo kushindwa kufanya kazi kwa kudumu; ESKD, end-stage renal disease (Kiingereza)
Aina ya neno: ugonjwa
Maana: CKD hatua ya 5 (eGFR chini ya 15).
Maelezo zaidi
Visababishi vikuu: kisukari, shinikizo la juu la damu, magonjwa ya vichujio vya figo, VVU, mawe na vizuizi vya muda mrefu, dawa za kienyeji.
Dalili: uchovu, kuvimba, kichefuchefu, kuwashwa, kupumua kwa shida, kuchanganyikiwa, upungufu wa damu.
Kinga: kudhibiti sukari na shinikizo la damu, kupima figo kila mwaka kwa walio hatarini, kuepuka dawa za maumivu za NSAIDs bila ushauri.
Tazama pia: Tiba ya kubadilisha kazi ya figo (kidney replacement therapy), Jeraha la ghafla la figo (AKI)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

