top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

8 Novemba 2026, 11:56:45

Uvimbekinga wa mapafu kwa kuvuta matapishi (aspiration pneumonitis)

Uvimbekinga wa mapafu kwa kuvuta matapishi (aspiration pneumonitis)

Majina mengine: nimonaitisi ya aspiresheni; aspiration pneumonitis (Kiingereza); Uvimbe wa mapafu kwa kuvuta matapishi


Aina ya neno: ugonjwa wa mapafu


Maana: uharibifu wa kemikali wa mapafu kutokana na asidi ya tumbo, si maambukizi (ingawa maambukizi yanaweza kufuata – aspiration pneumonia).


Maelezo zaidi


  • Dalili: kupumua kwa shida ghafla, kukohoa, wheeze, kupungua kwa oksijeni, homa.

  • Kuzuia: mlaze mtu asiye na fahamu au anayetapika upande mmoja (recovery position); funga kula kabla ya upasuaji kama ulivyoelekezwa.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Kupumua kwa shida baada ya kutapika ukiwa umepoteza fahamu au umelewa sana.

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page