top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

8 Novemba 2026, 11:56:45

Uvimbekinga wa pua na sinasi (rhinosinusitis)

Uvimbekinga wa pua na sinasi (rhinosinusitis)

Majina mengine: sainasaitisi; sinusitis, rhinosinusitis (Kiingereza); Uvimbe wa pua na sinasi


Aina ya neno: ugonjwa


Maana: uvimbekinga wa pua pamoja na sinasi.


Maelezo zaidi


  • Ya ghafla: mara nyingi virusi baada ya mafua – hupona ndani ya siku 10; maji ya chumvi puani husaidia.

  • Antibiotiki hufikiriwa tu dalili zikidumu zaidi ya siku 10, zikiwa kali, au zikizidi baada ya kupungua.

  • Sugu (zaidi ya wiki 12): mzio, vinyama, meno – huhitaji uchunguzi.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Uvimbe au wekundu kuzunguka jicho, kuona vitu viwili, maumivu makali ya kichwa au shingo kukakamaa – ni dharura.


Tazama pia: Kinyama puani (nasal polyp), Kipimo cha kuotesha majimaji ya sainasi

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page