top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
8 Novemba 2026, 11:56:45
Zoloto (larynx)
Majina mengine: kisanduku cha sauti; larynx, voice box (Kiingereza)
Aina ya neno: sehemu ya mwili
Maana: kiungo cha sauti na mlango wa njia ya hewa.
Maelezo zaidi
Magonjwa: uvimbekinga wa zoloto wa virusi (sauti kukwaruza), croup kwa watoto, vinyama vya nyuzi za sauti, saratani ya zoloto (wavutaji sigara na walevi).
Sauti kubadilika kwa zaidi ya wiki 3 ichunguzwe kwa kuangalia zoloto.
Tazama pia: Sauti kukwaruza (hoarseness), Kikohozi cha kubweka (barking cough)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

