top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Vipele ni nini?

Vipele ni nini?

Upele ni uvimbe mdogo, mgumu, usio na maji, ulioinuka juu ya ngozi, na ni mojawapo ya alama muhimu katika uchunguzi wa magonjwa ya ngozi. Upele hufahamika kwa majina mengine kama vipele, mapele, kipele, uvimbe chini ya sentimita 1 juu ya usawa wa ngozi n.k.

Visual agnosia

Visual agnosia

Visual agnosia ni nini kwa kiswahili?

Vomiting

Vomiting

Vomiting ni nini kwa kiswahili?

Vulva ni nini?

Vulva

Ni jina linalotumika kuelezea sehemu za nje za mfumo wa uzazi wa mwanamke zinazopatikana kuzunguka mlango wa uke. Vulva si sawa na uke; uke ni mfereji wa ndani, wakati vulva ni sehemu zinazoonekana kwa nje.

Wegener’s granulomatosis

Wegener’s granulomatosis

Wegener’s granulomatosis ni nini kwa kiswahili?

bottom of page