Uboreshaji wa ujuzi- Tabibu
Nyumbani
Mgonjwa
Daktari
Elimu Afya
Pata tiba
Ujauzito
Mlo Afya
Mafunzo
Dawa A-Z
Blogi
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Mengineyo
Ni neno linalotumika kumaanisha kuwa na kiwango cha chini cha sukari kwenye damu chini ya mmol 4.0 kwa lita moja ya damu.
Damusuziada ni neno linalotumika kumaanisha kuwa na kiwango cha glukosi cha ziada au kikubwa kuliko kawaida kwenye damu.
Dark spots in vision ni nini?
Dawa ni nini?
Nii kiini cha kemikali kinachotumika katika matibabu, kuponya, kuzuia au kutambua ugonjwa au kutumika kuimarisha mwili au na afya ya akili.