top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Disipnia
Ni neno la kitabibu linalomaanisha hali ya kuhisi upungufu wa pumzi kwa maana ya kuhisi kuwa unapata shida ya kupumua au hewa haitoshi. Mtu mwenye disipnia anaweza kuhisi kama anabanwa kifuani, hawezi kuvuta pumzi ya kutosha, anahitaji kupumua kwa nguvu zaidi au anapumua kwa haraka kuliko kawaida.
bottom of page

