top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Mesothelioma
Ni aina ya saratani inayotokea kwenye mesotheliamu, yaani utando mwembamba unaofunika baadhi ya viungo vya ndani ya mwili. Aina inayojulikana zaidi ni mesothelioma ya pleura, inayotokea kwenye utando unaozunguka mapafu. Aina nyingine zinaweza kutokea kwenye utando unaozunguka tumbo au viungo vya uzazi.
bottom of page

