top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Mkusanyiko wa maji kwenye tishu ni nini?

Mkusanyiko wa maji kwenye tishu

Ni hali ambapo majimaji mengi yanakusanyika ndani ya tishu za mwili, hasa kwenye nafasi iliyopo kati ya seli. Hali hii kitaalamu huitwa idima. Hali hii inaweza kutokea sehemu moja ya mwili, kama miguu, vifundo vya miguu au mikono, au inaweza kuenea sehemu mbalimbali za mwili.

Mlango wa haja kubwa ni nini?

Mlango wa haja kubwa

Mlango wa mkojo ni nini?

Mlango wa mkojo

Ni tundu dogo lililopo kwenye sehemu ya nje ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, ndani ya vulva, ambalo ni mwisho wa mrija wa mkojo. Kupitia tundu hili, mkojo hutoka kwenye kibofu cha mkojo na kwenda nje ya mwili.

Molar pregnancy

Molar pregnancy

Molar pregnancy ni nini?

Molluscum Contagiosum

Molluscum Contagiosum

Molluscum Contagiosum ni nini kwa kiswahili?

bottom of page