top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Obesity

Obesity ni nini?

Obeziti

Obeziti

Ni ugonjwa wa mwili kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi kutokana na mafuta mengi yaliyohifadhiwa kwenye ngozi.

Orchitis ni nini?

Orchitis

Orchitis ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Okaitisi" ambapo ni hali ya kitabibu inayojitokeza pale ambapo tishu za korodani hupata uchochezi (inflamesheni) unaosababishwa na maambukizi ya bakteria au virusi, au mara chache sababu zisizo za maambukizi kama kingamwili kushambulia tishu.

Ovarian tumor(feminizing)

Ovarian tumor (feminizing)

Ovarian tumor (feminizing) ni nini kwa kiswahili?

Pancreatic Islet Cell Cancer

Pancreatic Islet Cell Cancer

Pancreatic Islet Cell Cancer inaitwaje kwa kiswahili?

bottom of page