top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Sayanosisi ya kati ni nini?

Sayanosisi ya kati

Ni hali ambapo midomo, ulimi na wakati mwingine ngozi hubadilika kuwa ya bluu, zambarau au kijivu kutokana na kupungua kwa kiwango cha oksijeni kwenye damu inayosambazwa kwenda kwenye mwili. Hii hutofautiana na sayanosisi ya pembeni, ambayo huonekana zaidi kwenye vidole vya mikono na miguu.

Sayanosisi ya pembezoni ni nini?

Sayanosisi ya pembezoni

Ni hali ambapo vidole vya mikono, vidole vya miguu, kucha au sehemu za pembeni za mwili hubadilika kuwa za bluu, zambarau au kijivu kutokana na kupungua kwa mtiririko wa damu au kuongezeka kwa uchimbaji wa oksijeni kwenye tishu za maeneo hayo.

Schizophrenia

Schizophrenia

Schizophrenia kwa kiswahili ni nini?

Sebaceous Cysts

Sebaceous Cysts ni nini?

Second degree burns

Second degree burns

Second degree burns

bottom of page