top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Uume
Ni kiungo cha nje cha mfumo wa uzazi na mfumo wa mkojo wa mwanaume, kilichopo katika sehemu ya mbele ya chini ya mwili wa mwanaume. Uume huundwa na shina la uume, kichwa cha uume na tishu za ndani za kusimamisha uume, ambazo zinajumuisha miili miwili ya kavernasi na mwili mmoja wa sponji unaozunguka sehemu ya mrija wa mkojo.
bottom of page

