top of page
Namna ya kuishi maisha bora na ugonjwa wa kisukari

Kuhusu mwandishi
Mwandishi wa kitabu hiki ni Daktari wa wagonjwa ya binadamu, amekuwa akihudumia wagonjwa wa kisukari na kukutana nao wakiwa kwenye hatua mbalimbali za ugonjwa. Pia amekuwa akifanya tafiti ili kujua kuhusu kwanini watanzania wenye kisukari wanapata madhara yanayojulikana kutokea kwa upesi zaidi ukilinganisha mataifa mengine
bottom of page