top of page
TATIZO LA KUKOROMA- SNORING
Imeandikwa na ULY CLINIC
Karibia kila mtu anakoroma kwa mara chache katika maisha yake, lakini kama kukoroma huku kutatokea kila siku kunaweza kupunguza ubora wa maisha ya mtu na wale wanaokuzunguka.
Kukoroma kunaweza kusababisha mtu kutolala vyema na uchovu wakati wa mchana na kuongeza au kusababisha matatizo ya kiafya.
Kama kukoroma kwako kunafanya ndugu au jamaa yako asipate usingizi tatizo hili linaweza kuleta migogoro katika mahusiano baina yenu, kulala nyumba tofauti sio tiba ya tatizo hili bali kuna njia nyingi zinaweza kukusaidia kupunguza au kuondoa tatizo hilo.
​
Visababishi
Maana
Visababishi
bottom of page